utamaliza ngonjera zote
ndoa za humu cc ni mafungu mafungu
mwanaume mmoja wanawake zaidi ya kumi
uliza uambiwe yaliyonikuta
mwenzio nilitoa hata ua jekundu
na mashairi ya kithungu na hata hivyo Mr Rocky
akaniacha unashangaa foleni bongo.
huwa nikiwaonya mnaniita mwanga, sijui kwa sababu ya huu uzee?? yakiwakuta mnaona hata aibu kunitizama usoni, ni vizuri majionea wenyewe...
Baba V unataka tukae na hao wanaume hadi tufanane sura, haaa wewe vipi mwenyekiti lakin?
tena nakuja kwako siku za karibuni, nina mume mwingine,
tatizo wapo watano hapa nahangaika kuchagua
kaa tayari wakati wowote kubariki ndoa yangu mpya.
kwa cheo chako maswali sitayahitaji kwa wakati huu.
Afu wewe inabidi week end hii tutafutane ili tuongee ki utu uzima masuala ya biashara, unajua ualimu bila ujasiriamali maisha yanadunda.... hasa mradi wa miti
ha ha haaa mwenyekiti
unanitaka tuongee weekend
tuongelee wapi? baa au kanisani?
kweli ualimu bila ujasiriamali na ukizingatia watoto wanazidi kuzaliwa hailipi.
kwa hiyo unataka tuongee kuhusu mradi wa miti eeh,
sawa, panga ratiba nzuri ili mradi iheshimu majukumu ya mwenyekiti.
Baba V unataka tukae na hao wanaume hadi tufanane sura, haaa wewe vipi mwenyekiti lakin?
tena nakuja kwako siku za karibuni, nina mume mwingine,
tatizo wapo watano hapa nahangaika kuchagua
kaa tayari wakati wowote kubariki ndoa yangu mpya.
kwa cheo chako maswali sitayahitaji kwa wakati huu.
Mpenzi wangu Ben Saanane, wajua kama nakupenda sana.
Hvo sitaki kuumizwa.
Sijashikiwa mtutu ili nikupende, ni moyo wangu ndio umeamua.
Hvo TUPENDANE WABAYA WAULIZANE.
Nakupendajee...jamaniii!!!
Una lengo zuri la kumhudumia muathirika baada ya kunyanyapaliwa na jamii, hongera.
kumbe na wewe unahangaika kuchagua kama mimi? Nasubiri uolewe nione huyo uliye mchagua hayupo kwenye list yangu?
Kila lakheri! Nami nipo nyuma yako!
Hili ni la msingi sana, napanga ratiba hapa ili twende sawa, popote tutakutania cha msingi pawe convenient..
tatizo tunaponzwa na majina
sasa hivi sitafuti jina natafuta mtu.
tena majina yenyewe yana maskendo kama diamond.! Hata mimi nataka mtu jamani sijui nitampataje?
ha ha haaa
mbona wapo wanaokulilia kama akina Arushaone, Bishanga, Vin Diesel, Slave ****, Erickb52
na wengine wengi tu mtokee mmoja wapo
tatizo hao wanalia Baharini machozi yao yanaenda na maji badala ya kuja kunililia direct!
ha ha haaa
ila hapo mmoja ni lazima nitoke naye, wake zao watajijuu,
kama vipi uwahi ili tusijelaumiana tena baadae.
sasa wewe utanifanya nifanye uchaguzi wa haraka, kuna mmoja nimemLOVE ile mbaya isije ikawa ni huyo unammendea.
Wewe ni muelewa sana, ndo ninapokupendea haponimekuelewa