Madame B,
Unajua nilikurupuka usingizini nilipofungua JF nikaona jina la Passion Lady
So niliyoandika nilikua nakulenga wewe kumbe mawenge ya usingizi yalinipeleka kuandiaka jina la Passion Lady kwa kuwa ninamdai hela zangu nilizomtolea dhamana na nililala nikiwa na wazo hilo jana usiku
Swits unajua tumepita katika mawimbi mazito.Hatutaachana kamwe.Majungu ya akina Chimbuvu, Bishanga na Remote si mchezo...lakini tuli-survive
CC: Wanaotaka tu-break up
CC:Mbea uliyempelekea Madame B taarifa
CC: Passion Lady(ilibidi nitumie mbinu kali kujinasua maana Madame B ainishtukia)
Shark nakuuliza kwa mara ya mwisho?
Bado unanitaka?
@we Shark yaani Madame B ni spea tairi in case Passion Lady anakudengulia? AiseeNakutaka bana, nikisema sikutaki hua nataniaga tu mpenzi.
Kwanza Passion Lady mwenyewe tayari ana wenyewe.
Pia Ruttashobolwa ananitishia kunifungulia mashitaka chini ya kifungu cha pili cha makosa ya kuibia watu mke under penal code act No1 ya mwaka 1962 iliyopitiwa upya mwaka 1984
Hata Yesu alikanwa mara tatu kabla Jogoo halijawika lakini baadae akaombwa msamaha,
Ni upepo tu huu kaka Bishanga, yatapita haya!!
CC; Lady doctor, Passion Lady, asakuta same and all MMU + Jukwaa la Wakubwa members
​ndio uniache na Ruttashobolwa wanguYeah,
Pale Passion Lady anapoletaga pozi sababu ya Ruttashobolwa, basi Madame B ndio pozeo tosha Mkuu Bishanga
:disapointed:Scammer. ....lubex
Allllllaaaaaaa? Kulinda mali za ndugu yangu siku hizi ni unoko?