Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.

Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote.
Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe.
Umri mwisho miaka 50 maana wanakuwa na nguvu,after hapo huwa hawana nguvu.

Mimi ni mwaminifu,
Mcha Mungu,
Msafi na Nina Upendo.
Nitamuhudumia kwa Upendo wa Kweli.
Mshahara: Maelewano ila kuanzia 80,000/=
SIHITAJI WAZEE.

NOTE:
Sihitaji kufanya kazi kwa mwanaume ambae hajaoa,yaani bachela,maana huwa ni wasumbufu sana kila ifikapo mwisho wa mwezi.

Alie tayari ani-PM
vigezo vyote ninavyo ila naishi kwenye chumba kimoja tu. uko tayari?
 
Mimi nahitaji ndio ila sijafiwa na mke tumeachana, Kama vp ni pm namba zako.
 
Kupata mume ni ngumu, bora ubadili strategy shosti. Siku hizi hata mahausigelo wanaitwa domestic logistics director.

Hahaha.
Tumeaga kwetu TA kuja mjini kusaka mahela.
Kazi kwa maendeleo ya Taifa.
 
Nataka kuanzisha kampuni kubwa ambayo wewe mpenzi wangu utakuwa mkurugenzi mtendaji!utaanzia mshahara wa milioni nne kwa mwezi,unaonaje wazo langu mpenzi?

Sitaki.
Unaniona wa maana baada ya kuja kujianika huku au?
Sitaki, sitaki na sitaki TUKUTUKU.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Mdada niliyemaliza form Six, na kwa sasa sina ajira yoyote.
Ila nahitaji kufanya kazi za ndani (U-housegirl) kwa mwanaume ambae amefiwa na mkewe (Mgane) AU Ameachana na mkewe.
Umri mwisho miaka 50 maana wanakuwa na nguvu,after hapo huwa hawana nguvu.

Mimi ni mwaminifu,
Mcha Mungu,
Msafi na Nina Upendo.
Nitamuhudumia kwa Upendo wa Kweli.
Mshahara: Maelewano ila kuanzia 80,000/=
SIHITAJI WAZEE.

NOTE:
Sihitaji kufanya kazi kwa mwanaume ambae hajaoa,yaani bachela,maana huwa ni wasumbufu sana kila ifikapo mwisho wa mwezi.

Alie tayari ani-PM
Wewe unatafuta wanaume wenye nguvu zipi na kwa sababu ipi? Na kwa nini wagane au waliochana tu, kama lengo siyo kugegedwa?
 
Kama ulilipa mahari nikusindikize tukadai change. Hamna ndoa hapo. Tra watacalculate uchakavu tunachukua change nakuchuna chap chap ya udalali.
Huyu Madame B ni mke wangu,sema ameamua kuasi tu!
 
vigezo vyote ninavyo ila naishi kwenye chumba kimoja tu. uko tayari?

Hata ungekuwa unaishi juu ya dari.
Almradi uwe mgane na usizidi miaka 50 Period.
Nitalala Chini.
 
Sitaki.
Unaniona wa maana baada ya kuja kujianika huku au?
Sitaki, sitaki na sitaki TUKUTUKU.
Bora nife kuliko kumkosa mpenzi wangu Madame B!
Mpenzi nipe mwongozo,nikufanyie nini ili uweze kutulia katika penzi letu?
 
Last edited by a moderator:
Kama ulilipa mahari nikusindikize tukadai change. Hamna ndoa hapo. Tra watacalculate uchakavu tunachukua change nakuchuna chap chap ya udalali.
Mkuu kwa jinsi navyompenda huyu Madame B sihitaji hata hiyo change!kama unataka kunisaidia,naomba unisaidie kumshawishi atulie kwenye ndoa!
 
Back
Top Bottom