Natafuta kazi

Natafuta kazi

kaic hamisi

New Member
Joined
Feb 22, 2021
Posts
2
Reaction score
3
Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini nk cha muhimu iwe kazi halali naishi mbagala kata wa Kijichi matumain yangu naweza kupata msaada kwenu wana JF.
 
Nami pia nakuombea mdogo wangu ufanikiwe, ngoja waje wakuu wenye michongo..
 
Napenda kutoa salamu kwa wote jamani ni wote ni wazima poleni kwa majukumu mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 21 elimu kidato cha nne natafuta kazi yeyote ile iwe ya kiwandani, ofisini nk cha muhimu iwe kazi halali naishi mbagala kata wa Kijichi matumain yangu naweza kupata msaada kwenu wana JF.
Kajaribu buguruni kwa bakheresa, kazi pale hukosi, chukua barua serikal za mitaa hapo nenda nayo,,,
Uskose kutupa mrejesho
 
Back
Top Bottom