Natafuta kazi

Natafuta kazi

Samtee

Member
Joined
May 2, 2018
Posts
89
Reaction score
118
Habari ya muda tena?

Jamani niliona ni vyema nikapita tena apa nitangaze tena.

Ninatafuta ajiri jijini Arusha iwe full time ama part time nipo. Nina skill katika matumizi ya computer, nina experience ya sales and sales representative, account, marketing na ninaweza kuwa personal assistant.
 
Hapo umefeli mambo mengi ambayo ulitakiwa uyaweke kwenye maombi yako. Mf. Umri na jinsia yako
 
Hii siyo mara yakwanza napost ni muendelezo nilikua nakumbushia tuu incase
Mkuu unadhani kuwa hiyo ya mwanzo kila mtu aliiona? Ukielekezwa kuwa mpole jieleze vizuri usiache nafasi ya kuulizwa maswali ya msingi kabisa wakati ungeweza kujieleza kabla.

Unaweza kukuta huyo unaembishia ndio boss wako ajae.

Be humble ukiwa unatafuta.
 
Siti watu wote wanaona,

Jitahidi kwenye Kila post usiache maswali ya wazi. Otherwise uweke link ya previous post, utarahisishia wasomaji
 
Back
Top Bottom