Natafuta kazi

Natafuta kazi

Valence Cheti

Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
5
Reaction score
3
Habari WanaJF,

Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree

Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya nafaka,computer au laptop in case duka la aina yeyote Ile kwani kazi hizo ni mzoefu nazo na nimezifanya kwa weledi wa kiwango Cha juu Sana ko hazinisumbui Wala Sina Cha kujifunza zaidi Bali Nina uwezo wa kuorganize na kuinfluence biashara ikawa nzuri zaidi na zaidi pia naweza nikafanya kazi ya kuwa supervisor katika kampuni yeyote Ile pia naweza kubeba vitu na kupark store

Hivyo kwa yeyote mwenye fursa mojawapo au zote tajwa hapo juu au anajua wapi zinapatikana au wapi naweza pata fursa hizo kwa uaminifu wa Hali ya juu Sana naomba tuwasiliane namba yangu ni 0712035352.

Pls nisaidie nikusaidie.

Napatikana mda wowote ule hata kuanza Sasa Kama unayo tuwasiliane zaidi
 
Jaribu hapo kuna nafasi nyingi za job
IMG-20220310-WA0005.jpg
 
Dada naomba usije rudia kuniita majina yenye kunajisiwa, tena ukome na ukomae, tapeli kitobo chako cha chini ya kalio bwege wewe...[emoji57]
Acha ubishi...hakuna kazi hapo.
Ni matapeli wakiwa mawindoni, na kama ulikuwa haufahamu, tambua kuwa hao ni MATAPELI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom