Natafuta kazi

Sikia brother genius maana umesema mimi stupid. Shika maneno yangu anae kusaida au atakae kusaidia hakuumizi kichwa umesikia hii si mara ya kwanza napost kuhusu kazi, na kama ungekua mwajiri probably ungekua wa kwanza kutaka descriptions sawa binafsi nakushauri tafuta ela una makasiriko binafsi usiniamishie roho mbaya asubui asubui
IDIOT.
 
Shukran kwa ushauri, ila nafikiri hakuna cha kuandika kislay queen wala nini. Maelezo yamekua short, simple and direct. Kama ungekua unataka mfanyakazi hapo inasoma degree ya business management na ni binti basi wewe ungetaka more details.
Duuh hiyo cv yako ni noma.

Jaribu kupitia nyuzi za wadau baadhi, wameandika cv heavy, na inakua rahisi kulengeshwa kwenye mchongo.

Umeandika kislayqueen sana, tegemea kukutana na wala kimasikhara.
Watu huja kama ulivokuja. Kila la kheri.
 
Niele kuhusu iyo sikuizi kila mtu kadoma na amna kitu
 
Kama kazi ipo mpatie tu au chukua namba ya simu wasiliana nae kwa maelezo zaidi.
 
Kama kazi ipo mpatie tu au chukua namba ya simu wasiliana nae kwa maelezo zaidi.
Shangaa uyu alitaka nidisclose informations zote apa yaani full cv mezani na kumbe hata kazi ya kunipa hana.
 
Mkuu nafasi ipo? Nipo hapa.
 
Mkuu nipo hapa nimesoma diploma in procurement and logistic management, pia nimesoma bachelor in business management,, kwa sasa makazi yangu ni Dar es salaam, kama nafasi ipo inayohusiana na taaluma yangu au kazi yoyote halali naomba msaada wako.
 
Shukran kwa ushauri, ila nafikiri hakuna cha kuandika kislay queen wala nini. Maelezo yamekua short, simple and direct. Kama ungekua unataka mfanyakazi hapo inasoma degree ya business management na ni binti basi wewe ungetaka more details.
Wewe ni mhitaji mkuu, hivyo anaekuhitaji atataka akujue zaidi kabla ya kuanza maswali yanayochosha kama umri, mahali ulipo, uzoefu wako katika kazi nk.

Ni kumvuta tu akuamini zaidi wala si kwa lengo la kujishusha.
 
Mkuu nakupm inagoma aiseee sijui ndo gundu lishaanza [emoji23]

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…