Natafuta kazi

Natafuta kazi

Wadada wengine hadi wanatia aibu na kinyaa
Yaani anaomba kazi kana kwamba hana shida vile

Hata mtu ukiwa na mchongo unashindwa uanzie wapi kumsaidia.
Unaomba kazi, husemi Elimu yako umesomea nini, husemi unapatikana wapi, wala hutoi taarifa zako zozote zinazoweza angalau kumvuta mtu hata awiwe kukusaidia,,

Stupid.....
Sikia brother genius maana umesema mimi stupid. Shika maneno yangu anae kusaida au atakae kusaidia hakuumizi kichwa umesikia hii si mara ya kwanza napost kuhusu kazi, na kama ungekua mwajiri probably ungekua wa kwanza kutaka descriptions sawa binafsi nakushauri tafuta ela una makasiriko binafsi usiniamishie roho mbaya asubui asubui
IDIOT.
 
Shukran kwa ushauri, ila nafikiri hakuna cha kuandika kislay queen wala nini. Maelezo yamekua short, simple and direct. Kama ungekua unataka mfanyakazi hapo inasoma degree ya business management na ni binti basi wewe ungetaka more details.
Duuh hiyo cv yako ni noma.

Jaribu kupitia nyuzi za wadau baadhi, wameandika cv heavy, na inakua rahisi kulengeshwa kwenye mchongo.

Umeandika kislayqueen sana, tegemea kukutana na wala kimasikhara.
Watu huja kama ulivokuja. Kila la kheri.
 
Dah[emoji3064] Tatizo dada yangu umesoma. Ungekuwa haujasoma ningekuajiri kwenye ofisi yangu ya mayai ya kuku. Yaani unapeleka mayai kwenye ofisi ambazo tayari nina order nazo, unawapelekea kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 7. Lakini usafiri unaotumia ni daladala, na huku kwetu hazina shida kusema utapasua mayai la hasha! Gharama za usafiri ni juu yangu

Malipo ni 15k baada ya kazi. Tatizo wewe umesoma sana dada, nahofia uslay queen wako. We tafuta kazi za kutype na viyoyozi dah[emoji24][emoji24]
Niele kuhusu iyo sikuizi kila mtu kadoma na amna kitu
 
Wadada wengine hadi wanatia aibu na kinyaa
Yaani anaomba kazi kana kwamba hana shida vile

Hata mtu ukiwa na mchongo unashindwa uanzie wapi kumsaidia.
Unaomba kazi, husemi Elimu yako umesomea nini, husemi unapatikana wapi, wala hutoi taarifa zako zozote zinazoweza angalau kumvuta mtu hata awiwe kukusaidia,,

Stupid.....
Kama kazi ipo mpatie tu au chukua namba ya simu wasiliana nae kwa maelezo zaidi.
 
Shangaa uyu alitaka nidisclose informations zote apa yaani full cv mezani na kumbe hata kazi ya kunipa hana.
 
Dah[emoji3064] Tatizo dada yangu umesoma. Ungekuwa haujasoma ningekuajiri kwenye ofisi yangu ya mayai ya kuku. Yaani unapeleka mayai kwenye ofisi ambazo tayari nina order nazo, unawapelekea kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 7. Lakini usafiri unaotumia ni daladala, na huku kwetu hazina shida kusema utapasua mayai la hasha! Gharama za usafiri ni juu yangu

Malipo ni 15k baada ya kazi. Tatizo wewe umesoma sana dada, nahofia uslay queen wako. We tafuta kazi za kutype na viyoyozi dah[emoji24][emoji24]
Mkuu nafasi ipo? Nipo hapa.
 
Wadada wengine hadi wanatia aibu na kinyaa
Yaani anaomba kazi kana kwamba hana shida vile

Hata mtu ukiwa na mchongo unashindwa uanzie wapi kumsaidia.
Unaomba kazi, husemi Elimu yako umesomea nini, husemi unapatikana wapi, wala hutoi taarifa zako zozote zinazoweza angalau kumvuta mtu hata awiwe kukusaidia,,

Stupid.....
Mkuu nipo hapa nimesoma diploma in procurement and logistic management, pia nimesoma bachelor in business management,, kwa sasa makazi yangu ni Dar es salaam, kama nafasi ipo inayohusiana na taaluma yangu au kazi yoyote halali naomba msaada wako.
 
Shukran kwa ushauri, ila nafikiri hakuna cha kuandika kislay queen wala nini. Maelezo yamekua short, simple and direct. Kama ungekua unataka mfanyakazi hapo inasoma degree ya business management na ni binti basi wewe ungetaka more details.
Wewe ni mhitaji mkuu, hivyo anaekuhitaji atataka akujue zaidi kabla ya kuanza maswali yanayochosha kama umri, mahali ulipo, uzoefu wako katika kazi nk.

Ni kumvuta tu akuamini zaidi wala si kwa lengo la kujishusha.
 
Dah[emoji3064] Tatizo dada yangu umesoma. Ungekuwa haujasoma ningekuajiri kwenye ofisi yangu ya mayai ya kuku. Yaani unapeleka mayai kwenye ofisi ambazo tayari nina order nazo, unawapelekea kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 7. Lakini usafiri unaotumia ni daladala, na huku kwetu hazina shida kusema utapasua mayai la hasha! Gharama za usafiri ni juu yangu

Malipo ni 15k baada ya kazi. Tatizo wewe umesoma sana dada, nahofia uslay queen wako. We tafuta kazi za kutype na viyoyozi dah[emoji24][emoji24]
Mkuu nakupm inagoma aiseee sijui ndo gundu lishaanza [emoji23]

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom