Natafuta kazi

Natafuta kazi

Samtee

Member
Joined
May 2, 2018
Posts
89
Reaction score
118
Mambo vipi au niseme good evening.
Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali.

Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza.

Weekend njema.
 
Ingia ingia huko website ya Ajira potal ucheki kazi kama zipo uapply
 
Wadada wengine hadi wanatia aibu na kinyaa
Yaani anaomba kazi kana kwamba hana shida vile

Hata mtu ukiwa na mchongo unashindwa uanzie wapi kumsaidia.
Unaomba kazi, husemi Elimu yako umesomea nini, husemi unapatikana wapi, wala hutoi taarifa zako zozote zinazoweza angalau kumvuta mtu hata awiwe kukusaidia,,

Stupid.....
 
Ndo umtukane mtu stupid?
 
Dah[emoji3064] Tatizo dada yangu umesoma. Ungekuwa haujasoma ningekuajiri kwenye ofisi yangu ya mayai ya kuku. Yaani unapeleka mayai kwenye ofisi ambazo tayari nina order nazo, unawapelekea kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 7. Lakini usafiri unaotumia ni daladala, na huku kwetu hazina shida kusema utapasua mayai la hasha! Gharama za usafiri ni juu yangu

Malipo ni 15k baada ya kazi. Tatizo wewe umesoma sana dada, nahofia uslay queen wako. We tafuta kazi za kutype na viyoyozi dah[emoji24][emoji24]
 
Wakati ukisubiria kuokota Kazi jaribu kufanya chochote kwa kuzitazama fursa zinazokuzunguka Ili maisha yasisimame, maana ujui ni lini utaokota Kazi.
 
Wakati ukisubiria kuokota Kazi jaribu kufanya chochote kwa kuzitazama fursa zinazokuzunguka Ili maisha yasisimame, maana ujui ni lini utaokota Kazi.
Hivi kazi hua zinaokotwa siku hizi?
 
Kama zingekuwa ni rahisi kupata
Kwani kazi na ajira ni kitu kimoja? Kazi si hata wewe unaweza ukaanzisha ya kwako ya kushona viatu na makoti maturubai na ikakulipa au unazungumzia kazi ipi mkuu ya kushinda kwenye viyoyozi?
 
Duuh hiyo cv yako ni noma.

Jaribu kupitia nyuzi za wadau baadhi, wameandika cv heavy, na inakua rahisi kulengeshwa kwenye mchongo.

Umeandika kislayqueen sana, tegemea kukutana na wala kimasikhara.
Watu huja kama ulivokuja. Kila la kheri.
 
Kwani kazi na ajira ni kitu kimoja? Kazi si hata wewe unaweza ukaanzisha ya kwako ya kushona viatu na makoti maturubai na ikakulipa au unazungumzia kazi ipi mkuu ya kushinda kwenye viyoyozi?
Kasema anatafuta Kazi means anataka connection ya ajira.
 
PATA WAZO JINSI ya KUTOKA KIMAISHA KWA MTAJI MDOGO

1.Nunua pikipiki ya Dhamana ukaanza biashara ya Boda boda.
2.Fungua saluni
3.Mradi wa tofali za kuchoma
3.Fuga kukuIDEAS ZA KUTOKA KIMAISHA KWA MTAJI MDOGO

1.Nunua pikipiki ya Dhamana ukaanza biashara ya Boda boda.
2.Fungua saluni
3.Mradi wa tofali za kuchoma
3.Fuga kuku
4.Somea ujuzi wowote
5.Mradi wa kushona nguo
6.kijiwe cha kuchomelea
7.kijiwe cha milango na madirisha ya aluminum
8.Mgahawa Mdogo
9.Kijjwe cha kahawa
10.Mashine ya kupukuchua mazao mfano mahindi, mpunga, mtama, karanga, nk
11.Mashine ya kukata nyasi, kupalilia
12.Kuuza mbuzi, kuku,
13.Biashara ya mazao.
14.kukodi bus, daladala na kuzisimamia upate cha juu
15.Kutengeneza sabuni, sanitizer, handwash,
16.Kutengeneza unga wa lishe
17.Kilimo cha umwagailiaji water pump, mbegu, madawa
18.Jiko la supu
19.kutengeneza mkaa mbadala
20.Kuuza chips
21.Kukaanga kuku
22.Kutengeneza vitafunio
23.Kuzalisha ethanol
24.kufuga poko mbuzi katoliki
25.Kufungua kilabu cha pombe za kienyeji
26.Kufungua vijiwe vya Kukusanya ubuyu maporini yakitimia magunia unaleta mjini
27.Kuuza juice
28.Kuuza juice ya miwa
29.Kijiwe cha kukaanga samaki jioni
30.Shughuli za upambaji kumbi
31.Kusambaza bidhaa majumbani
32.Kusambaza bidhaa basic needs kwenye maduka ya vijijini yaani unanua mjini unasambaza kwa oda viduka vya vijijini.
33.Kuzunguka minadani kuuza nguo za mitumba, vyombo, nk
34.Kufungua tuition center
35.Kufungua grocery
36.Kuwa wakala wa bidhaa za viwandani
37.kijiwe cha kukusanya taka za plastic, chuma,oil chafu na tairi chakavu.
38.Kufungua genge la kuuza basic home need
39.Kufungua ofisi ya kupiga nguo pasi.
40.Ofisi ya kutengeneza viatu na mabegi
41.Kutengeneza vyombo vya kupikia mfano, majiko, ndoo, sufuria, mifuniko, vikaangio, nk
42.Saluni ya kutengeneza kucha za wanawake
43......Jengea vyumba vitatu wazazi wako nyumba ya Bati upate baraka
44..Nunua shamba
45.Nunua ng'ombe wadogo watano kwa laki na nusu anza ufugaji.
Au nunua mbuzi anza kufuga
46.Fungua kijiwe cha kuonyesha mpira
47.duka la nguo za kupoint classic za mitumba piga pasi tundika kwenye enga
48..Ofisi za baiskeli za kukodi hapo unapata baiskeli nane
49..Duka la spea za pikipiki na baiskeli
50.Duka la dawa na vipodozi
51..ofisi ya kuchaji simu kwa sola vijijini
52..ofisi ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa
53.. Bustani za kuzalisha miche ya miti na matunda
54... Ufugaji nyuki na kuuza asali
55.. Kuzalisha unga wa muhogo
56..Direct sale yaani door to door delivery hapa unakuwa na torori na speaker unapita KILA nyumba unauza bidhaa na kuchukua oda ya nini wanataka Ili kesho uwaletee.
57.Utengenezaji pellets chakula cha mifugo,samaki.
58..unga wa lishe
59..mikeka
60.bidhaa za mianzi.
61.utengenezaji wine,
62.usafi wa majumbani
63.kuuza uji wa ulezi,mchele
64.utengenezaji mbolea za mboji na za maji.
65.utengenezaji wa vigae vya cement na vya udongo.
66.kupanda miti kwa ajili ya nguzo na mirunda
67.utengenezaji wa ndala
68.utengenezaji viatu
69.Upondaji kokoto
70.ufundi simu na radio
71.Utengenezaji mifagio
72.utengenezaji crips za Mihogo,ndizi,viazi,nk
73.Utengenezaji tambi,ubuyu
74.panda mlonge,au nyonyo,au mibono au muarobaini Ili uje uuze mafuta,au utengeneze sabuni.
75.Kutengeneza siagi ya karanga
76.Home delivery hapa ni kupita KILA nyumba na kuchukua oda za mahitaji yao then unaenda kununua unawaletea
77.Utengezaji wa vifungashio vya karatasi
78.utengenezaji mitungi,vyungu,majiko ya udongo
79.Kuwatengeneza kucha wadada

Back
Top Bottom