MwaFreeca JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 205 Reaction score 183 Dec 5, 2023 #1 Habari wana JF, Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu. Nina imani hapa JF wapo watu watanisaidia katika hili. Asanteni🙏
Habari wana JF, Mimi ni mhitimu wa ufundi umeme majumbani mwaka wa pili. Nipo Dar Natafuta kazi hata ya kujitolea ili kuongeza ujuzi na uzoefu katika fani yangu. Nina imani hapa JF wapo watu watanisaidia katika hili. Asanteni🙏
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Dec 5, 2023 #2 Hongera kwa kuhitimu Mkuu. Kuna Vichwa navijua vili-Disco kwasababu ya kula Ugoro chuoni. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hongera kwa kuhitimu Mkuu. Kuna Vichwa navijua vili-Disco kwasababu ya kula Ugoro chuoni. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Dec 5, 2023 #3 Mh? Kujitolea? Bila nauli wala chakula?
MwaFreeca JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 205 Reaction score 183 Dec 5, 2023 Thread starter #4 Mjanja M1 said: Hongera kwa kuhitimu Mkuu. Kuna Vichwa navijua vili-Disco kwasababu ya kula Ugoro chuoni. KaziKweliKweli/JobTrueTrue Click to expand... Shukrani mkuu
Mjanja M1 said: Hongera kwa kuhitimu Mkuu. Kuna Vichwa navijua vili-Disco kwasababu ya kula Ugoro chuoni. KaziKweliKweli/JobTrueTrue Click to expand... Shukrani mkuu
MwaFreeca JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 205 Reaction score 183 Dec 5, 2023 Thread starter #5 Mywangu said: Mh? Kujitolea? Bila nauli wala chakula? Click to expand... Ikitokea ya kujitolea nitafanya kwa moyo wote
Mywangu said: Mh? Kujitolea? Bila nauli wala chakula? Click to expand... Ikitokea ya kujitolea nitafanya kwa moyo wote