Natafuta kiben ten

Natafuta kiben ten

We bibie mimi nilishajiandaa na talaka nikimbilie kua ki ben 10. kumbe unaleta masihara utaleta Majanga ujue aaaash...!!!
 
Wabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.

Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.

Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.

Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.

Just a joke's jaman huhuhuu
Kwenye job description ondoa kupika,kufua na kukuogesha isomeke kukukaza tu
 
Heee nlitaka nije pm fasta pia mi ni HB shughuli naimudu vizur tu
Ucje pm ndugu yangu, maana jamaa hawana utani... Wanasaundisha balaaa, kuna mmoja kanichekesha
Eti madam hata ukijisaidia usifrash ntakuja nifrash mwenyewe, ili mradi ukitoka unaniachia mazagazaga

Yaan nimecheka, duuh kweli vijana wanajua kuchangamkia Tulsa.
 
Back
Top Bottom