Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Bora avatar yangu imerudi [emoji4][emoji4]Nilikuwa nishaanza mazoezi ya kupiga deki(kuenda uvinza),kwani ndo mnachotaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora avatar yangu imerudi [emoji4][emoji4]Nilikuwa nishaanza mazoezi ya kupiga deki(kuenda uvinza),kwani ndo mnachotaka
Achana naoJaman ni utani tu, msimind tupo jf kwa ajili ya kurefresh mind nakufurah. Kuna watu naona povu linawatoka mmmh
Ndio maana mnaambiwa mle ujana kabla hajafika hatua hii
Mngh!
Usicheze na deki ya ndimi za kenge sio mchezo mchezo
Mngh!
Usicheze na deki ya ndimi za kenge sio mchezo mchezo
kwa use.nge huu utampata nani sasaJaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Kwenye job description ondoa kupika,kufua na kukuogesha isomeke kukukaza tuWabariiii wapendwa
Jaman natafuta kiben10, napenda awe hb, sio sura kama ya harmorapa.
Yaani nataka awe anadikeza, ananifulia, ananiogesha, ananipikia, ananidrive nikienda job.
Yaan chochote ntakacho mwambia kwake yeeeeees bbby. Asiwe na wivu awe mpole kama uchebe wa shilole.
Yaan ntampenda ntamuhonga mpaka mpaka achanganyikiwe yaani, ntamhudumia kila kitu.
Unajua hivi viben10 vina raha yake we umuoni sister fey anaenjoy maisha.
Ila nataka wale vijana waliomaliza videgree vyao wamekaa home miaka 3 hawajapata kazi, najua wanajua uchungu SNA wa maisha wale watoto.
Just a joke's jaman huhuhuu
Ucje pm ndugu yangu, maana jamaa hawana utani... Wanasaundisha balaaa, kuna mmoja kanichekeshaHeee nlitaka nije pm fasta pia mi ni HB shughuli naimudu vizur tu