Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

Natafuta kijana ,mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library

Joined
Jun 5, 2024
Posts
84
Reaction score
64
Natafuta kijana (anayejielewa),mchapakazi, mwenye uzoefu na shughuli za Library,anicheki ili tufungue ofisi.

Atatafuta location bora ambayo kazi itaenda,atanipa mchanganuo wa vifaa vinavyohitajika,then mi nitashghulika na gharama zote ZA AWALI.ITAKUA NI KAZI YA HESABU!

Means kila siku atanipa hesabu yangu kwa kadri ya kazi itakavyofanyika.
NB:AWE MKAZI WA DAR PEKEE
 
Back
Top Bottom