Natafuta kijana wa kuchoma nyama

Natafuta kijana wa kuchoma nyama

Joined
Mar 15, 2019
Posts
64
Reaction score
178
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu !

Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka mbeleni. Akiwa mkazi wa wilaya ya Kinondoni itapendeza.

Kazi ni jioni tu kuanzia saa 11 hadi saa 3 (Mchana anaweza kufanya mishe zake )

Aliye tayari anicheki WhatsApp 0683535699
 
NYAMA YA AINA GANI MKUU.... ng'ombe, kuku, mbuzi , Usikute ni ile mishikaki ya 100 mia?
 
𝖭𝗀𝗈𝗃𝖺 𝗐𝖺𝗍𝖺𝗄𝗎𝗃𝖺 𝗆𝗎𝖽𝖺 𝗌𝗂𝗈 𝗆𝗋𝖾𝖿𝗎
 
Hata kama ya 100 mia mkuu shida ipo wapi kama kashaweka dau hapo...
Dau lako linaingia no matter what...😂😂😂
sio kwa ubaya ila nilisikia story kuhusu hiyo mishkaki nikasikitika sana
 
NYAMA YA AINA GANI MKUU.... ng'ombe, kuku, mbuzi , Usikute ni ile mishikaki ya 100 mia?
Hapo kwel kazi ipo?

Amekuandikia kabisa mwenye uwezo wa kuchoma kuku

Lakini bado tu unauliza nyama gan hivi ni kwel?
 
Hapo kwel kazi ipo?

Amekuandikia kabisa mwenye uwezo wa kuchoma kuku

Lakini bado tu unauliza nyama gan hivi ni kwel?
USIKURUPUKE KAMA KUKU ALIYEKATWA SHINGO, MARA YA KWANZA WAKATI ANAANDIKA POST ALIWA HAJAAAINISHA NI NYAMA YA AINA GANI, NDIO IKABIDI AFANYE EDITING
 
Back
Top Bottom