Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding

Delc

Member
Joined
May 26, 2023
Posts
34
Reaction score
51
Habari,

Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam.

Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi.

Asanteni.
 
Mi nipo Mwanza, ila nina rafikiangu yupo Dar anaujuzi huo ninaimani hatumii JF je, naweza kukuunganisha nae!?
 
Habari,

Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam.

Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi.

Asanteni.
Nina mtu yupo kigoma, ni experienced kabsaaa amefanya na mpak sasa anafanya Kzi veta day worker kwa sasa ana kama miaka 4 anafanya kazi hiyo..
Weldingi, ila amesomea ABR kunyoosha board za magari na cheti anacho..
Kama upo ridhaa apande huko.
 
Habari,

Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam.

Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi.

Asanteni.
Vipi kiongozi ushapata?
 
Kwa fundi anayejielewa na mchapakazi Nina mashine MPYA kabisa, moja ya kuchomea (welding machine) na mashine ya kukatia vyuma (grinder machine) , Baada ya project yangu kukamilika namkaribisha Tujadiliane namna tunaweza kutumia hizi mashine zimnufaishe yeye kama fundi na Mimi kama mmiliki WA mashine. Aliye serious tafadhali tuwasiliane
 
Mimi nataka ukimaliza project yako uniuzie mkuu
 
Habari,

Natafuta kijana wa kufanya kazi za welding. Kituo kipo tayari kuanza kazi.. Kijana mwenye ujuzi huo au alietoka veta anifuate dm kwa mazungumzo zaidi. Kituo kipo Dar es salaam.

Karibuni kwa yeyote mwenye uhitaji wa kazi.

Asanteni.
Ulishapata fundi? Kama bado ni pm tuyajenge mimi ni fundi
 
Back
Top Bottom