Natafuta kijana wa kushirikiana nae

Natafuta kijana wa kushirikiana nae

Muislaam

Senior Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
129
Reaction score
43
Habari wana JF, naishi dar, nilikuwa nina mpango wa kuanzisha biashara ndogondogo.
Nilikuwa nahitaji kijana yeyote aliye Tayari tushirikiane pamoja katika hili.
Tutagawana Faida sawa na kushirkina kwa kila kitu.
Awe; - mwaminifu
- Muwazi
-Mkweli
-Tabia nzuri
-Awe na elimu kuanzia kidato ha nne
Anayependa kufanya biashara!
Walio Tayari karibuni Tushirikiane!!
UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI DHAIFU!

Mawasiliano yangu; 0759601820
0714306015
 
Mkuu siungesema kwanza ni Biashara gani? Icjekuwa ktk zile Biashara za Network,,,,!!
 
  • Thanks
Reactions: BIR
biashara gani?
Niwe na mtaji kiasi gani?
 
Funguka. Biashara gani?

We unaogopa nini!?
Utaijua ukisha kubali ushirikiano!

Huyo kijana mwenzako anatafuta mwenzake!
Kwani we hujiamini!?

Mbona @x out na @nyakageni wanashirikiana km vile andiko lilivyosema!?
Yaani kimwili na kiroho vyote kwa mpigo.
 
nini hasa hitaji lako? partneship katika kukza mtaji au katika management. kuna tofauti hapa, focus yako ikiwa katika management ina maana hutajali sana partner kuja na mtaji kama wako, na kama focus yako ni kukuza mtaji, ina maana uwezo wa kwa yeye kuwa na kianzio ni kigezo muhimu> hebu funguka vizuri
 
  • Thanks
Reactions: BIR
Hapo ni katika management! tunakuwa tunaanzisha biashara halafu yeye anakuwa anasimamia kama supervisor
!!
 
biashara ndogondogo kama ilielezwa kwenye head. kama vile za maduka ya vyakula!!
 
mkuu kama uko serious! number si hiyo apo!
 
Kutembeza chupa za chai,bakuli,vijiko,hotpot and etc!

Funguka. Biashara gani?
Kutembeza chupa za chai,bakuli,vijiko,hotpot and etc!

biashara gani?
Niwe na mtaji kiasi gani?
Kutembeza chupa za chai,bakuli,vijiko,hotpot and etc!

Biashara gani
Kutembeza chupa za chai,bakuli,vijiko,hotpot and etc!

Tuambie biashara gan.
Kutembeza chupa za chai,bakuli,vijiko,hotpot and etc!

Nlivyoona kijana, afu kushirikiana, nkajua kimwili, my bad!
Kumbe inawezekana kushirikiana kimwili??
 
Back
Top Bottom