Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
waungwana, kama mnavyojua swala la ajira limesha kuwa tete kwa vijana walio wengi na kupelekea msongo wa mawazo kwa wengi wao.
ili kumnusuru huyu bwana mdogo ambaye anashindwa kutwa humu kupost mambo yasiyo eleweka nimeamua kumtafutia kibarua
hivyo basi Beira Baby Boy weka mawasiliano yako hapa au unaweza kunichek PM nikupe kazi hii ya kukata nyasi, kumlisha pumba ng'ombe wangu wa maziwa na kazi nyingine kama usafi wa zizi n.k ili upate kitu cha kukuweka busy.
povu ruksa.
wahi kabla sijabadilisha uamuzi.
UTALIPWA VIZURI.