Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe wangu wa maziwa. Beira Baby Boy atanifaa.

Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe wangu wa maziwa. Beira Baby Boy atanifaa.

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
18,046
Reaction score
38,598
waungwana, kama mnavyojua swala la ajira limesha kuwa tete kwa vijana walio wengi na kupelekea msongo wa mawazo kwa wengi wao.
ili kumnusuru huyu bwana mdogo ambaye anashindwa kutwa humu kupost mambo yasiyo eleweka nimeamua kumtafutia kibarua
hivyo basi Beira Baby Boy weka mawasiliano yako hapa au unaweza kunichek PM nikupe kazi hii ya kukata nyasi, kumlisha pumba ng'ombe wangu wa maziwa na kazi nyingine kama usafi wa zizi n.k ili upate kitu cha kukuweka busy.

povu ruksa.
wahi kabla sijabadilisha uamuzi.

UTALIPWA VIZURI.
 
Hatari unapo sema ng'ombe wa maziwa unamaana ipi... Ila mkuu izi kind of dharau sizisapoti,its not fair,kama unakerwa na muda wake umu bora utoe report kwa mods,kuliko kudhalilisha watu mkuu
this is chitchat peleka usiriazi huko kwenye mambo ya mugabe, mgao wa umeme, makinikia, fly over n.k
 
Back
Top Bottom