this is chitchat peleka usiriazi huko kwenye mambo ya mugabe, mgao wa umeme, makinikia, fly over n.kHatari unapo sema ng'ombe wa maziwa unamaana ipi... Ila mkuu izi kind of dharau sizisapoti,its not fair,kama unakerwa na muda wake umu bora utoe report kwa mods,kuliko kudhalilisha watu mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaha... Joseverest pia ni mchungaji mzuri wa ng'ombe
hahaahah safi sana kumbe ana mke? sasa kipato cha familia kitaongezekaBeira Baby Boy mume wangu njoo huku !njoo utunze ng'ombe niwe napata maziwa bureee !
hahaahah safi sana kumbe ana mke? sasa kipato cha familia kitaongezeka
Soon atafika/atakuja mkuukama yupo kwa malkia inaonekana alizamia na hata nauli ya kurud home hana nitamwezesha kwa hilo ilimradi tu akiri.