Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe wangu wa maziwa. Beira Baby Boy atanifaa.

Natafuta kijana wa kutunza ng'ombe wangu wa maziwa. Beira Baby Boy atanifaa.

L
waungwana, kama mnavyojua swala la ajira limesha kuwa tete kwa vijana walio wengi na kupelekea msongo wa mawazo kwa wengi wao.
ili kumnusuru huyu bwana mdogo ambaye anashindwa kutwa humu kupost mambo yasiyo eleweka nimeamua kumtafutia kibarua
hivyo basi Beira Baby Boy weka mawasiliano yako hapa au unaweza kunichek PM nikupe kazi hii ya kukata nyasi, kumlisha pumba ng'ombe wangu wa maziwa na kazi nyingine kama usafi wa zizi n.k ili upate kitu cha kukuweka busy.

povu ruksa.
wahi kabla sijabadilisha uamuzi.

UTALIPWA VIZURI.
LABDA AKUTUNZIE KICHAWI
 
L

LABDA AKUTUNZIE KICHAWI
atakuwana kamati yake huko kuangalia ni namna gani ya ku revenge make baad ya uzi huu kijana alitoweka kabisa na hata kasi ya kupandisha mada hapa jf imepungua
 
atakuwana kamati yake huko kuangalia ni namna gani ya ku revenge make baad ya uzi huu kijana alitoweka kabisa na hata kasi ya kupandisha mada hapa jf imepungua
Kapigwa shoti ya Umeme mkali wa Jf
 
Hatari unapo sema ng'ombe wa maziwa unamaana ipi... Ila mkuu izi kind of dharau sizisapoti,its not fair,kama unakerwa na muda wake umu bora utoe report kwa mods,kuliko kudhalilisha watu mkuu
Apa chit chat. ...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwee
 
Kuna mwengine anaitwa ndege John asee,Nahisi uyu chalii anaweza sana Kumchotea manjota/manjox/maji uyo Punda wako wa maziwa..Alaf ndege huwapenda sana ng'ombe hasa wa maziwa.
 
Back
Top Bottom