Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

Sifa za mwombaji

1. Kijana anayejituma
2. Anayejua kuandika na kusoma
3. Mkazi wa kigamboni
4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku saba za wiki
5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika
6. Mwenye kitambulisho cha NIDA

TUWASILIANE HAPA KWANZA*

Wewe hauhitaji mfanya kazi , Shart la nne linamfanya mfanyakazi awe mfungwa
 
Sifa za mwombaji

1. Kijana anayejituma
2. Anayejua kuandika na kusoma
3. Mkazi wa kigamboni
4. Atakayeweza kufanya kazi kwa siku saba za wiki
5. Mwenye mdhamini aliyemkazi wa kigamboni na awe na mali isiyohamishika
6. Mwenye kitambulisho cha NIDA

TUWASILIANE HAPA KWANZA*
Mpe Siku moja ya kufua nguo zake na kunyoa kichwa chake,atakaa dukani rafu mchafu mchafu nani atasogea kununua muhudumu mchafu? Biashara yako si italala sasa.
 
nimeshapunguza wadau

Weka wazi mshahara.
Weka wazi eneo husika.
Weka wazi mawasiliano.
Weka wazi kazi inaanza lini.


Nimeona pia unaulizia maduka ya bidhaa za jumla, nayajua machimbo kibao hasa Kariakoo na Ilala kwani mzee wangu ana duka Mbezi na huwa ananiagiza mimi kumfuatia bidhaa zake.
 
Back
Top Bottom