Natafuta kijana wa kuuza duka la jumla

Yeah, huwa nataman sana nimshike mkono yule jamaa ila ipo siku.

Anapitia magumu sana jamaa, kulala nje waoneni watu tu njiani ila ni noma sana. Unapata all kinds of suicidal thoughts.
 

Wewe hauhitaji mfanya kazi , Shart la nne linamfanya mfanyakazi awe mfungwa
 
Mtu afanye Kaz wiki nzima si utumwa huo na ukute salary n 100,000 monthly
 
Mpe Siku moja ya kufua nguo zake na kunyoa kichwa chake,atakaa dukani rafu mchafu mchafu nani atasogea kununua muhudumu mchafu? Biashara yako si italala sasa.
 
nimeshapunguza wadau

Weka wazi mshahara.
Weka wazi eneo husika.
Weka wazi mawasiliano.
Weka wazi kazi inaanza lini.


Nimeona pia unaulizia maduka ya bidhaa za jumla, nayajua machimbo kibao hasa Kariakoo na Ilala kwani mzee wangu ana duka Mbezi na huwa ananiagiza mimi kumfuatia bidhaa zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…