natafuta kiki

natafuta kiki

leah nziku

Member
Joined
Jul 28, 2016
Posts
84
Reaction score
32
[emoji126] nataka nitoke kweny gazeti niuze sura...waseme nimelala na fulan..[emoji126] [emoji126] [emoji126]

jokes[emoji12]
 
Duh! huyu mgeni mbona balaaa! kafika jf jana leo anatafuta kiki!
endelea kutafta maana hakuna namna...
 
[emoji126] nataka nitoke kweny gazeti niuze sura...waseme nimelala na fulan..[emoji126] [emoji126] [emoji126]

jokes[emoji12]
Anza kwa kuweka picha zako za utupu ktk mitandao tofauti tofauti,kisha..nenda pale kwa jamaa wa niuz za udaku..mtafanya biashara mzuri tu.
 
Anza kwa kuweka picha zako za utupu ktk mitandao tofauti tofauti,kisha..nenda pale kwa jamaa wa niuz za udaku..mtafanya biashara mzuri tu.
[emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jomba....iyo kiki hatare afu sio njema......

mm citak kiki ka izo....lol[emoji126]
 
Back
Top Bottom