Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu zote ingredient ni Glyphosate, haya majina wachina wanatuchanganya tu... tafuta kiua magugu chochote chenye hicho kiatilifu.weedall na weed master zinatofauti au ndio hizo hizo
Nilipiga dawa ya kichina "weedall", mpaka nikayaonea huruma majani yalivyo kaushwa hii kitu hatari sana
Round up inachukua siku 21, Dynasate 480L inachukua siku 15, Gugusate siku 15, Dk inayoua majani membamba siku 10 hadi 15.Roundup za sasa hazina ubora kama za mwanzo nimepiga naona inachelewa kuua majani