Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

20*20
Unaweza nipigia pia 0714309012
Ngoja niendelee kujipanga na mimi niushtue huu umaskini.

Niliwahi kuuliza nikaambiwa vinaanzia 5M hadi 8M nikakaa kwa kutulia kwanza
 
Unaweza kuja kukiona na Kwa makubaliano unaweza pia lipa taratibu ukimaliza tunakabidhiana kabisaa
Maana hela za siku hizi hazikai
Hata hiki changu nilikuwa NAUZA ml 6
Nimekishusha tuu baada ya Mimi kununua kingine
 
Ahsante mkuu, ila ngoja nimpishe huyo mwingine kwanza achangamkie.

Hela tunazitafuta kwa udi na uvumba kutoka vyanzo visivyo vya uhakika, kwa hiyo maamuzi tunayafanya kwa uangalifu mkubwa.

Hiyo ya kulipa kidogo kidogo ni nzuri endapo mtu ana chanzo cha uhakika
 
Sawa,karibu
 
Nina Offer ya 3m niambie nitapata kiwanja cha ukubwa gani maeneo hayo.

Kwa waiopajua maeneo hayo yako mbezi maeneo ya Goba.

Nawasilisha
Kwani kila mtu lazima ajenge? Nyie majobless mbona na haraka na maisha hivi?
 
Hicho apo mita 17 kwa 20 milion 5 maji umeme vyote vipo gar had ndan ....
0613008960
Kibaha kwa mathias
IMG_20230202_141919.jpg
 
Back
Top Bottom