Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.