Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mbegu inauzwa huko Zambia inabeba mahindi mawili inawezekana kabisa kupata gunia ishirini kwa ekari.Mimi nipo rukwa, sumbawanga Tena najishughulisha na kilimo nawataarifu kuwa kitu hiki hakiwezekani vinginevyo mleta Uzi aje hapa aseme amelimia wapi.mbaya zaid ameeleza kuwa hakuhudumia vizur hivyo inazidi kutia shaka kiasi hicho Cha mavuno
Kuna sehemu inaitwa Mambwe Kenya huko ndani ndani mpaka Kuna watu wapo siriasi na kilimo aiseeMimi nipo rukwa, sumbawanga Tena najishughulisha na kilimo nawataarifu kuwa kitu hiki hakiwezekani vinginevyo mleta Uzi aje hapa aseme amelimia wapi.mbaya zaid ameeleza kuwa hakuhudumia vizur hivyo inazidi kutia shaka kiasi hicho Cha mavuno
kwani msimu ulikuwaje? ulikuwa na changamoto gani? Vinginevyo kupata gunia 30 kwa ekari moja ni jambo la kawaidaMpumbavu huyu, kwa msimu uliopita ulivyokuwa unawezaje kupata gunia 200 kwenye ekari 9?? Yaani kila ekari gunia 20?? Mpumbavu sana huyu
ndiyo maana kuna umuhimu wa kupima udongo kujua una mapungufu gani au unahitaji nini kabla hujalima.Kwa kifupi ardhi zimetofautiana sana mfano , ardhi ya Kigoma maeneo ya Kibondo hata uweke mbolea EKARI 1 ni ngumu ikupe gunia 15 wakati huo hizo gunia 15 kwa EKARI huko Tarime baadhi ya maeneo unawezapata hata kama hujaweka mbolea
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mbolea unaweka?ndiyo maana kuna umuhimu wa kupima udongo kujua una mapungufu gani au unahitaji nini kabla hujalima.
kama huna utaalamu huo fanya majaribio kidogo kidogo. Chukua robo eka usioweke mbolea, robo eka nyingine weka mbolea ya kupandia na baadae ya kukuzia halafu uangalie tofauti, Pia waweza kujarubu aina tofauti za mbegu.
Mimi nilinzaga na Kilima, Lubango, Aminika na nyingine ya kutoka zambia nimesahau jina, Mwaka wa pili nikaacha hiyoi ya zambia na kilima, nikaendelea na Lubango na Aminika, Mwaka wa tatu nikabaki na Aminika peke yake ila na Lubango vilikuwa vinalingana lakini mbegu ya Lubango sikuipata.
Sasa najaribu mahindi ya miezi mitatu ya kuchoma nimeona haya yote yanaitwa 503.
Nilipanda mwezi wa nane kwa kumwagilia.
Kwa huko Katumba Kuna shida gani?Kuna sehemu inaitwa Mambwe Kenya huko ndani ndani mpaka Kuna watu wapo siriasi na kilimo aisee
Kuna mwamba huko kapiga gunia zaidi ya 6000.
Sehemu sahihi kwa kilimo Cha Mahindi Rukwa n karibia eneo lote la ziwa Rukwa,wilaya za Nkasi na Kalambo ukiwekeza nguvu hayo maeneo kilimo kinalipa.
Mtu analima shamba Katumba huwezi ambulia chochote.