Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza novemba anitafute tuunganishe nguvu
TAPELI huyo. Msimu uliopita huwezi kutapa gunia 200 za mahindi kwenye ekari 9 . Kila ekari gunia 20?? Kilimo Cha wapi hiki Cha mahindiUnatafuta wa kuungana naye kwa hii fake I'd. Au we ndio wale wa tuma kwa namba hii?
wahi pm mkuu kwa eka hizo 50 mtakua matijiri sana, sema hajui kudanganyaTani 21 ni gunia 200. Gunia 200 kwa hali ilivyokuwa huwezi kuzipata kwenye ekari 9 . Acha upumbavu na kuona watu wajinga humu wewe
TAPELI MKUBWA
Mpumbavu huyu, kwa msimu uliopita ulivyokuwa unawezaje kupata gunia 200 kwenye ekari 9?? Yaani kila ekari gunia 20?? Mpumbavu sana huyuwahi pm mkuu kwa eka hizo 50 mtakua matijiri sana, sema hajui kudanganya
Mbona inawezekana vizuri kabisa! watu wanavuna hadi gunia 30 kwenye heka moja we wawapi wewe!!TAPELI huyo. Msimu uliopita huwezi kutapa gunia 200 za mahindi kwenye ekari 9 . Kila ekari gunia 20?? Kilimo Cha wapi hiki Cha mahindi
Wapi huko mkuu kwa mwaka jana walipata hivoMbona inawezekana vizuri kabisa! watu wanavuna hadi gunia 30 kwenye heka moja we wawapi wewe!!
Msitake kufanya watu wajinga humu. Msimu uliopita unaujua vizuri wewe?Mbona inawezekana vizuri kabisa! watu wanavuna hadi gunia 30 kwenye heka moja we wawapi wewe!!
Mi maza wangu mkubwa pamoja na kupiga maombi ,mwaga maji ,chumvi ,mafuta ya upako.Alikula za uso akapata kisado kimoja tu.Msitake kufanya watu wajinga humu. Msimu uliopita unaujua vizuri wewe?
Labda mazao mengine alinunua kwa watu, huwezi kujuaMpumbavu huyu, kwa msimu uliopita ulivyokuwa unawezaje kupata gunia 200 kwenye ekari 9?? Yaani kila ekari gunia 20?? Mpumbavu sana huyu
Uko Rukwa sehemu gani?Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza novemba anitafute tuunganishe nguvu
Andaa wosia wakati unaingiza mguu hapa kwani utafia shambani kwa kitakachotokeaWadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza novemba anitafute tuunganishe nguvu
Mbona inawezekana vizuri kabisa! watu wanavuna hadi gunia 30 kwenye heka moja we wawapi wewe!!
tani 21 ni kilo 21,000 ukigawa kwa 100 sawa na maguni210 ukigawa eka 9 kwa magunia 210 ni wastani wa gunia 23 kwa eka.Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza novemba anitafute tuunganishe nguvu