mkonomtupu
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 441
- 118
kachukue na P.H.D then urudi tena
Mbona mnatutisha jaman,yan mtu ana masterz then hana job,inaleta picha gani kwa sie tulioko mashulen bado?
unajua ndugu yangu hata kuvolunteer sasa hivi unahitaji kimemo ,mi mwenyewe nina MBA finance na nilihangaika kupata hata kuvolunteer then kwa kutumia kimemo nikafanikiwa katika shirika flani hapa nchini ,nimevolunteer kwa mwaka mzima ndo then nimepata kibarua sehemu nacho kwa kuunganishiwa ,manake nilimaliza karatasi na bahasha kuapply mpaka soli zikachanka wapi naishia kuitwa kwenye interview then ....
jitahidi ndugu yangu mungu atakusaidia
Apply Vyuoni wanahitaji sana Academicians wasio na exposure
eti nina masters sina xperience sa uliunga mastaz ya nini bila kutafuta cheque no kwanza?
Ujue watu wengine humu ndani hamjui hata muandike nini, mko frastrated tu! mwenzenu kusoma ndo imekuwa nongwa? nyinyi wengine mbona mmegraduate tangu 2009 hadi leo bado mko mtaani tu? si bora mwenzenu kaongeza elimu? mnapenda kukatisha watu tamaa wakati nyinyi wenyewe mnapenda muonewe uruma.
Kaka wala ucjari, hata mimi niliunganisha hivyo hivyo, toka chuo nikafanya CPA na MSc (A&F). nimekaa mtahani kwa muda mana lazima kwanza uzoee sarakasi za mtaani, but badaye nimepata internation org moja inayotambua shule na ambayo haigopi watu competent, nimekula shavu zuru saaaan! ineterview unafanyiwa na mzungu. Wabongo majungu tu, wanaficha weknes zao tu!
Kaka pigana, shida huwa hazidumu, utatoka tu!
ulisomea chuo gani hiyo fani.....yako maana kuna jamaa wangu amesoma hiyohiyo kozi ila yupo tra ntajaribu kuongea
pole sana,but i think jaribu sana kuapply in banks hasa hizi mpya zainazoanzishwa!...na using'ang'anie profession sana kwa sasa,any job will do,baadae ndo uanze tafuta kazi za marketin!!!!...also present ur applications direct to hr/directors,usiwaogope,it also shows u serious n u really need the job..and make direct calls to them regarding the job applications hasa kwa small orgs ambazo hawajatangaza kazi,