Natafuta kufanya VOLUNTARY JOB!

Natafuta kufanya VOLUNTARY JOB!

mkonomtupu

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
441
Reaction score
118
Wakuu.
Nina BA Economics plus MBA Marketing. Sina experience yoyote zaidi ya field attachmden ya Project Planning. Yoyote mwenye fursa niko tayari. Mimi niko Dar.
Naomba kuwasilisha
 
Mbona mnatutisha jaman,yan mtu ana masterz then hana job,inaleta picha gani kwa sie tulioko mashulen bado?
 
mmmhhhh aiseee una masterz halafu bado unataka kuvolunteer mbona ni balaa hili...hii Tanzania sijui inaenda wapii
 
Mbona mnatutisha jaman,yan mtu ana masterz then hana job,inaleta picha gani kwa sie tulioko mashulen bado?

Inaleta negative tu,hakuna picha hapo mpaka ukasafishe negative,njooni huku kilimanjaro upande mlima upate mtaji,alaah!
 
unajua ndugu yangu hata kuvolunteer sasa hivi unahitaji kimemo ,mi mwenyewe nina MBA finance na nilihangaika kupata hata kuvolunteer then kwa kutumia kimemo nikafanikiwa katika shirika flani hapa nchini ,nimevolunteer kwa mwaka mzima ndo then nimepata kibarua sehemu nacho kwa kuunganishiwa ,manake nilimaliza karatasi na bahasha kuapply mpaka soli zikachanka wapi naishia kuitwa kwenye interview then ....

jitahidi ndugu yangu mungu atakusaidia
 
pamoja mkuu. hope i will make it. thanx 4 the concern
 
pole sana,but i think jaribu sana kuapply in banks hasa hizi mpya zainazoanzishwa!...na using'ang'anie profession sana kwa sasa,any job will do,baadae ndo uanze tafuta kazi za marketin!!!!...also present ur applications direct to hr/directors,usiwaogope,it also shows u serious n u really need the job..and make direct calls to them regarding the job applications hasa kwa small orgs ambazo hawajatangaza kazi,
 
eti nina masters sina xperience sa uliunga mastaz ya nini bila kutafuta cheque no kwanza?

Ujue watu wengine humu ndani hamjui hata muandike nini, mko frastrated tu! mwenzenu kusoma ndo imekuwa nongwa? nyinyi wengine mbona mmegraduate tangu 2009 hadi leo bado mko mtaani tu? si bora mwenzenu kaongeza elimu? mnapenda kukatisha watu tamaa wakati nyinyi wenyewe mnapenda muonewe uruma.

Kaka wala ucjari, hata mimi niliunganisha hivyo hivyo, toka chuo nikafanya CPA na MSc (A&F). nimekaa mtahani kwa muda mana lazima kwanza uzoee sarakasi za mtaani, but badaye nimepata internation org moja inayotambua shule na ambayo haigopi watu competent, nimekula shavu zuru saaaan! ineterview unafanyiwa na mzungu. Wabongo majungu tu, wanaficha weknes zao tu!

Kaka pigana, shida huwa hazidumu, utatoka tu!
 
ulisomea chuo gani hiyo fani.....yako maana kuna jamaa wangu amesoma hiyohiyo kozi ila yupo tra ntajaribu kuongea
 
Ujue watu wengine humu ndani hamjui hata muandike nini, mko frastrated tu! mwenzenu kusoma ndo imekuwa nongwa? nyinyi wengine mbona mmegraduate tangu 2009 hadi leo bado mko mtaani tu? si bora mwenzenu kaongeza elimu? mnapenda kukatisha watu tamaa wakati nyinyi wenyewe mnapenda muonewe uruma.

Kaka wala ucjari, hata mimi niliunganisha hivyo hivyo, toka chuo nikafanya CPA na MSc (A&F). nimekaa mtahani kwa muda mana lazima kwanza uzoee sarakasi za mtaani, but badaye nimepata internation org moja inayotambua shule na ambayo haigopi watu competent, nimekula shavu zuru saaaan! ineterview unafanyiwa na mzungu. Wabongo majungu tu, wanaficha weknes zao tu!

Kaka pigana, shida huwa hazidumu, utatoka tu!

Mkuu thanx kwa encouragement pamoja mkuu.
 
pole sana,but i think jaribu sana kuapply in banks hasa hizi mpya zainazoanzishwa!...na using'ang'anie profession sana kwa sasa,any job will do,baadae ndo uanze tafuta kazi za marketin!!!!...also present ur applications direct to hr/directors,usiwaogope,it also shows u serious n u really need the job..and make direct calls to them regarding the job applications hasa kwa small orgs ambazo hawajatangaza kazi,

Mkuu, kwanza nashukuru kwa ushauri mzuri. Lakini pia nimeshafanya na ninaendelea kufanyma hivyo. For the time being huwa na apply yoyote come in my way.
 
Kwani ku-volunteer lazima uambiwe na mtu we vipi bana! Nenda pale Kwa Mtogole ukafanye mambo mpk Kwa Tumbo. Kinachosababisha wafurikwe na mvua hata ya nusi inch ni kuziba ile mitaro ya majitaka, sasa wewe mwenye kutaka kuvoluntia kazi kwako.

Na nyie mnaomsemasema mwenzenu kwa kuwa tu ana mastaz na nyie hamna, mbona mnakuwa vilaza. Kwani hapa kwetu kinachomata si hayo makaratasi, sasa mwenzenu kayapata acheni kidomo domo. Kama na nyie mnaumwa pepa nendeni mkasote muandikiwe za kwenu, ebo!
 
Pole mwanangu. Mungu akutangulie na abariki applications zako zote ili upate kazi. "MWITE NAYE ATAKUITIKIA". Piga sala kwa nguvu, utashangaa siku utakayoitiwa kazi zaidi ya moja na kubaki ukijishauri uchague ipi? GOD BLESS YOU!! Binti yangu ana BPA_HRM ya mzumbe ya 2011, na bado anaosha vyombo nyumbani. Bado sijakata tamaa kwani tunamtegemea MUNGU kwa sana tu. Sasa hivi ni mwendo mdundo wa Applications kila anaposikia tangazo.
 
Back
Top Bottom