Natafuta kufanya VOLUNTARY JOB!

Mkuu, ahsante kwa sala na maombi kwani hakika Mungu ni Mkuu pia ni Mwema ninauhakika atanitendea mwujiza iko siku. Ibada ni muhimu nami pia najiombea na kuombea wenzangu kama mimi
 
Pole sana. My brother aligraduate na miaka 2 alikaa home na alipofanyiwa interview na kupata barua ya kuitwa job, siku anaripot anakuta kazi alishapewa mwingine kwa kimemo! Alikaribia kuwa frustrated bt after some prayers with faith, alipata kazi ambayo wala hakuisomea tena akiwa kwenye daladala. So usikate tamaa, voluntering is gud inakupa experience ktk mambo mbalimbali ya maofisini. Ubadili jina pia..mkonomtupu? Utakuwa mtupu kweli bhana.,.! Nakutakia mafanikio...stay blesed
 
You are very smart mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…