Ujue watu wengine humu ndani hamjui hata muandike nini, mko frastrated tu! mwenzenu kusoma ndo imekuwa nongwa? nyinyi wengine mbona mmegraduate tangu 2009 hadi leo bado mko mtaani tu? si bora mwenzenu kaongeza elimu? mnapenda kukatisha watu tamaa wakati nyinyi wenyewe mnapenda muonewe uruma.
Kaka wala ucjari, hata mimi niliunganisha hivyo hivyo, toka chuo nikafanya CPA na MSc (A&F). nimekaa mtahani kwa muda mana lazima kwanza uzoee sarakasi za mtaani, but badaye nimepata internation org moja inayotambua shule na ambayo haigopi watu competent, nimekula shavu zuru saaaan! ineterview unafanyiwa na mzungu. Wabongo majungu tu, wanaficha weknes zao tu!
Kaka pigana, shida huwa hazidumu, utatoka tu!