Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Wakuu!
Natafuta laptop ninunue yenye sifa hizi kama upo Arusha au Dar ani pm.
Iwe na....
>>500GB Hard disk
>>4-8 RAM
>>Processor intel i5 to i7
>>Life Battery ianzia 3Hrs kuendelea
>>Iwe imetumika si zaidi ya miaka miwili au mtumba/mpya
>> Iwe na bluetooth na Wifi
>> USB port tatukuendelea.
>> iwe na windows 10 au 8
>> Uwe na Flash disk kuanzia hata 6b
>> Iwe na Adapter yake
LOCATION:ARUSHA
BEI: 300K Japo tunaweza kupanda kutokana na ubora wa bidhaa yako
NB. Nitaifanyia Diagnosis kabla ya kuichukua..!
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk