Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
- Thread starter
- #21
Ndio mkuu ni muhimu hivo vitu...masharti kibao una buku 3
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ndio mkuu ni muhimu hivo vitu...masharti kibao una buku 3
ndio laki 3? hiyo.inaanzia 450 refurb mjiniNdio mkuu ni muhimu hivo vitu...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Unayo uza iko wapi mkuu??ndio laki 3? hiyo.inaanzia 450 refurb mjini
Nasubiria picha mkuu
Hahaaaaa noma sana wabongoUmefeli mkuu, kibongobongo ungetaja hyo hyo 450k au 500k basi angejiingiza mwenyewe huko kwenye 430k, wabongo tunapenda kupunguziwa bei hata km uko bei iko sahihi na thamani tutaka tupunguziwe walau kidogo tuu[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mbona kimya njoo pm
Nikutumie wapi Picha?Mkuu Mbona kimya njoo pm
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Upo wapi mkuu
Nicheck nikuuzie lenovo g510Nyote hamna PC??