Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Wakuu!
Natafuta laptop ninunue yenye sifa hizi kama upo Arusha au Dar ani pm.
Iwe na....
>>500GB Hard disk
>>4-8 RAM
>>Processor intel i5 to i7
>>Life Battery ianzia 3Hrs kuendelea
>>Iwe imetumika si zaidi ya miaka miwili au mtumba/mpya
>> Iwe na bluetooth na Wifi
>> USB port tatukuendelea.
>> iwe na windows 10 au 8
>> Uwe na Flash disk kuanzia hata 6b
>> Iwe na Adapter yake
LOCATION:ARUSHA
BEI: 300K Japo tunaweza kupanda kutokana na ubora wa bidhaa yako
NB. Nitaifanyia Diagnosis kabla ya kuichukua..!
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu ofaa yangu yaweza kuongezeka hafi kufika hiko kiasi ilichotaja..Nenda dukani ...ukisha ambiwa bei yake ikiwa mpya njoo tena utajikuta ukisema ofa yangu ni 450k
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu!
Natafuta laptop ninunue yenye sifa hizi kama upo Arusha au Dar ani pm.
Iwe na....
>>500GB Hard disk
>>4-8 RAM
>>Processor intel i5 to i7
>>Life Battery ianzia 3Hrs kuendelea
>>Iwe imetumika si zaidi ya miaka miwili au mtumba/mpya
>> Iwe na bluetooth na Wifi
>> USB port tatukuendelea.
>> iwe na windows 10 au 8
>> Uwe na Flash disk kuanzia hata 6b
>> Iwe na Adapter yake
LOCATION:ARUSHA
BEI: 300K Japo tunaweza kupanda kutokana na ubora wa bidhaa yako
NB. Nitaifanyia Diagnosis kabla ya kuichukua..!
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Poa!!Nenda dukani ...ukisha ambiwa bei yake ikiwa mpya njoo tena utajikuta ukisema ofa yangu ni 450k
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu!
Natafuta laptop ninunue yenye sifa hizi kama upo Arusha au Dar ani pm.
Iwe na....
>>500GB Hard disk
>>4-8 RAM
>>Processor intel i5 to i7
>>Life Battery ianzia 3Hrs kuendelea
>>Iwe imetumika si zaidi ya miaka miwili au mtumba/mpya
>> Iwe na bluetooth na Wifi
>> USB port tatukuendelea.
>> iwe na windows 10 au 8
>> Uwe na Flash disk kuanzia hata 6b
>> Iwe na Adapter yake
LOCATION:ARUSHA
BEI: 300K Japo tunaweza kupanda kutokana na ubora wa bidhaa yako
NB. Nitaifanyia Diagnosis kabla ya kuichukua..!
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Generation ya Intel??
Mkuu umeniangusha kwenye Ram na HDD.. waweza fanyia marekebisho tuongeeBei hiyo alafu unataka ya vigezo hivyo Mkuu uwe serious leta 430k nikupe Dell Attitude
Core i5
HDD 320 ukipenda utaongeza iwe 1TB
Ram 8GB
Processor 2.6GhZ
Web camera
Bluetooth na mbwembwe nyingi charge 3hours pia ina adapter yake imwnunuliwa February 2018
Sent using Jamii Forums mobile app
8GB Ram kubwa hiyoMkuu umeniangusha kwenye Ram na HDD.. waweza fanyia marekebisho tuongee
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu lakini nilipenda iwe processor i5 mpaka i7.. hivyo vingine nimeridhika navyo
Ni i5Mkuu lakini nilipenda iwe processor i5 mpaka i7.. hivyo vingine nimeridhika navyo
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ok twaweza ongea biasharara...
Mkuu lakini nilipenda iwe processor i5 mpaka i7.. hivyo vingine nimeridhika navyo
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Niko dar kama unamtu hapa aje akague kabla hujalipaOk twaweza ongea biasharara...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Ofa yako ya mwisho ni ngap? ?
Yani ninaitoa kwa 450k but nmeweka 430k ili tusishushaneOfa yako ya mwisho ni ngap? ?
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Mkuu tuone picha zake.. pia Jitahid tufanye ata 400k usawa unabana..
masharti kibao una buku 3Wakuu!