trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Mi nina 34.Urefu sm 188.Kiuno inch 36. Sikufai?Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!