Natafuta 'Life Patner'

Natafuta 'Life Patner'

Jamani wadau, wanaJF, upweke unanikondesha. Natafuta mtu ambaye yuko erious na maisha (man), anayetamani kampany ya ukweli kama ninatamani mimi, kwa pamoja tushirikiane katika sehemu ya maisha iliyobaki. Very serious!
Mi nina 34.Urefu sm 188.Kiuno inch 36. Sikufai?
 
Mi nina 34.Urefu sm 188.Kiuno inch 36. Sikufai?


Well, urefu, umri, na size ya kiuno sio sifa za msingi zinazomfanya mtu akubalike ama asikubalike.
Kuna mambo mengi ya msingi.
Watu mkifahamiana tabia ndo inamaga zaidi, na haya mengine inakuwa ni added advantage.
 
Back
Top Bottom