Natafuta like minded people....(technology, businesses.....n.k)

Nashukuru....ila nilikua ninahitaji watu ambao tutakaa meza moja tukaweka mawazo yetu pamoja na tukatengeneza kitu....sina haraka ya kua tajiri


Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekaa chini ukamsikiliza wazo lake huyo jamaa kwanza. Kwa sisi tuliosomea biashara tunaangalia faida na hasara hatuangalii hisia na miungu!.
Sawa huna shida ya utajiri wa haraka lakini mkiungana mkapata wazo la 50 mil si itawalazimu mkakope na hamna Asset bado!.
Next time mtu akikuambia ntakupa ajira but % fulani zangu chunguza utakachoingiza na unachompa je kitakacho salia kinakutosha!?..
Huu ulimwengu wa kibepari my dear!..
 
Watanzania wamekariri kutokutaka utajiri wa haraka hata ikiwa njia ya halali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa wazo ndo upewe support, usitake kutumia mawazo ya wenzio

Sent using Nokia tochi
 
Sijui lengo thabiti la hili group kufikia wapi admin mwenyew leo ni siku pili naona ushaanza kuremove watu unajifikiria wewe tu unashindwa hata kumfuata mtu kumuuliza inbox kama yupo bize au unremove tu mtu ni bora ungeweka ratiba basi ili wote tuwe tunaelewa ikifika mda fulani tuwe active mana mda huu narudi nichangie tayari nishatolewa
 
Poleee ndugu yangu. Admin bado anajifunza kutokana na makosa madogo madogo. Ata kuadd tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mimi nipo mapaka sasahivi tunalisikuma gurudumu huku waini kabla tujawa wakina mack, bill, brezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…