LethalVerda
Member
- Mar 27, 2018
- 22
- 21
- Thread starter
- #61
Pomoja sana. Mm nilishaanza baadhi ya project na zingine ziko on the way
Sent using Jamii Forums mobile app
Like minded People
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pomoja sana. Mm nilishaanza baadhi ya project na zingine ziko on the way
Sent using Jamii Forums mobile app
naomba tuwasiliane mimi na rafiki yangu tunaproject tumeanzisha inausiana na ishu za it kama utakuwa tayari karibu tungane
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mwana IT ila nina business idea yangu ya kilimo ila ime-base kwenye IT nimeichambua vyema niliiandika kushindania pesa ipo vizuri tunaweza fanya kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekaa chini ukamsikiliza wazo lake huyo jamaa kwanza. Kwa sisi tuliosomea biashara tunaangalia faida na hasara hatuangalii hisia na miungu!.Nashukuru....ila nilikua ninahitaji watu ambao tutakaa meza moja tukaweka mawazo yetu pamoja na tukatengeneza kitu....sina haraka ya kua tajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila nawe acha uongo, utajiri wa miezi 6 ni kiini macho hichoSawa ukifikisha miaka thelathini utanikumbuka, kwasasa bado unahisia za kishule shule, hujui life reality. Ukitaka kujua hilo jione tu unavyohisi we in msomi kumbe wasomi wako mtaani wanamaisha yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wamekariri kutokutaka utajiri wa haraka hata ikiwa njia ya halaliUngekaa chini ukamsikiliza wazo lake huyo jamaa kwanza. Kwa sisi tuliosomea biashara tunaangalia faida na hasara hatuangalii hisia na miungu!.
Sawa huna shida ya utajiri wa haraka lakini mkiungana mkapata wazo la 50 mil si itawalazimu mkakope na hamna Asset bado!.
Next time mtu akikuambia ntakupa ajira but % fulani zangu chunguza utakachoingiza na unachompa je kitakacho salia kinakutosha!?..
Huu ulimwengu wa kibepari my dear!..
mazoea mabovu, bahati haziji mara mbili!..Watanzania wamekariri kutokutaka utajiri wa haraka hata ikiwa njia ya halali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana huyo hataki mambo ya ndumba hukawii kuagiza filigisi za chatu.Tuwasiliane for serious business issues... Karin pwani ya Msata
Jr[emoji769]
[emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mshana huyo hataki mambo ya ndumba hukawii kuagiza filigisi za chatu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee babaTuwasiliane for serious business issues... Karin pwani ya Msata
Jr[emoji769]
Poleee ndugu yangu. Admin bado anajifunza kutokana na makosa madogo madogo. Ata kuadd tenaSijui lengo thabiti la hili group kufikia wapi admin mwenyew leo ni siku pili naona ushaanza kuremove watu unajifikiria wewe tu unashindwa hata kumfuata mtu kumuuliza inbox kama yupo bize au unremove tu mtu ni bora ungeweka ratiba basi ili wote tuwe tunaelewa ikifika mda fulani tuwe active mana mda huu narudi nichangie tayari nishatolewa
Mbona nikijiunga inakataa??
Vipi sisi wengine hatuna nafasi??Mimi sijasoma hayo makitu lakininaweza kukuunganisha na mtu ukawa tajiri ndani ya miezi sits. Kama uko tayari nijulishe Ila utanipatia mapato yako 20% kwa mwaka mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mimi nipo mapaka sasahivi tunalisikuma gurudumu huku waini kabla tujawa wakina mack, bill, brezoSijui lengo thabiti la hili group kufikia wapi admin mwenyew leo ni siku pili naona ushaanza kuremove watu unajifikiria wewe tu unashindwa hata kumfuata mtu kumuuliza inbox kama yupo bize au unremove tu mtu ni bora ungeweka ratiba basi ili wote tuwe tunaelewa ikifika mda fulani tuwe active mana mda huu narudi nichangie tayari nishatolewa