Mkuu ratiba ilishawekwa kwa group na members tulikubaliana discussion zinafanyika kuanzia saa mbili usiku kama conversations zote hizo utakua hukuziona that's means haukua seriouz!Sijui lengo thabiti la hili group kufikia wapi admin mwenyew leo ni siku pili naona ushaanza kuremove watu unajifikiria wewe tu unashindwa hata kumfuata mtu kumuuliza inbox kama yupo bize au unremove tu mtu ni bora ungeweka ratiba basi ili wote tuwe tunaelewa ikifika mda fulani tuwe active mana mda huu narudi nichangie tayari nishatolewa
Hadi nishasahau hii kitu hakuna ratiba iliyowekwa huyu binti nae kama hana akili kisa mtu haujaonekana siku moja anakutoa bila kuuliza nakuja kutoa malalamiko hapa lakini kimyaMkuu ratiba ilishawekwa kwa group na members tulikubaliana discussion zinafanyika kuanzia saa mbili usiku kama conversations zote hizo utakua hukuziona that's means haukua seriouz!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu anapotumia neno la mkuu kwako then ukamtusi ni umepotoka kabisa.Hadi nishasahau hii kitu hakuna ratiba iliyowekwa huyu binti nae kama hana akili kisa mtu haujaonekana siku moja anakutoa bila kuuliza nakuja kutoa malalamiko hapa lakini kimya
Kafanye utafiti wako tena then uje tena hapaKuna tech based businesses kibao, nyingi hazihitaji Triple Discussion maaana zinakuwa kwa kasi. Idea ya kuleta group mnako weza share hayo mambo ni nzuri. Ila kujichomeka kwenye biashara husika kwa kuwa ina profit....Ni mbaya, Maana Binafsi naamini Passion ina nguvu kuliko Interest.
Na vipi, ukiibiwa idea yako na mtu mwenye uwezo wa kuitekeleza kwa group?
Mda wa ku act..ni pale unapo kuwa na Idea, kuitest...na sio kuanza kusubiri uwe na uwezo wa kufanya hivyo baadae ukisha ona wengine wamefanikiwa. So kwa hiyo group labda mnashare risk-taken ideas au...sio kile unachotegemea kufanya baadae. Binafsi sijawahi sikia kuwa watu 200 fulani walfanikiwa baada ya discussion wakaja na idea poa. Ila sipingi wale walio kubaliana nae..Just a compliment and reality dis.
Nendeni Mfanye E-Commerce kabla haijawa Saturated Africa(TZ)
Siri yetuVipii mmefikia wapi wakuu.