Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,374
- 1,201
Mkuu ratiba ilishawekwa kwa group na members tulikubaliana discussion zinafanyika kuanzia saa mbili usiku kama conversations zote hizo utakua hukuziona that's means haukua seriouz!Sijui lengo thabiti la hili group kufikia wapi admin mwenyew leo ni siku pili naona ushaanza kuremove watu unajifikiria wewe tu unashindwa hata kumfuata mtu kumuuliza inbox kama yupo bize au unremove tu mtu ni bora ungeweka ratiba basi ili wote tuwe tunaelewa ikifika mda fulani tuwe active mana mda huu narudi nichangie tayari nishatolewa
Sent using Jamii Forums mobile app