Hebu niambie yaliyokukuta vipi ngozi iliungua baada ya kujibadili?Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si kwamba bado natumia cream la hasha ila lotion nyingi nazotumia hazinipendi nami nataka niwe na rangi yangu halisi yenye mng'ao mzuri.Naombeni mtu anisaidie jina la lotion ambayo haichubui na itayonipa ngozi ya mwonekano mzuri but isiwe za nazi cause nyingi nishazijaribu huwa zinanitoa mapele.
Mkorogo UnanukaKuna dem niliamua kumuacha kisa ni kujichubua,alikua ananitia aibu kinoma.
Nenda Twaiba
toning na bleach ina tofauti gani?
Hiyo inafahamika Kama Clare difference ya USA hiyo... Ila haichubui zaid ya kusoftisha ngozi tu..... Kwa mfano ukitaka ung 'ae kidog tu unaweka na makali ambayo inauzwa laki tatu na nusu..... Hiyo yenyew 80toning na bleach ina tofauti gani?
Kwahiyo mtu mmoja unapaka mafuta kwa 350,000/=???Hiyo inafahamika Kama Clare difference ya USA hiyo... Ila haichubui zaid ya kusoftisha ngozi tu..... Kwa mfano ukitaka ung 'ae kidog tu unaweka na makali ambayo inauzwa laki tatu na nusu..... Hiyo yenyew 80