Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inafaa pia kwa sisi midume?Tumia rinju yenye Shea butter au organic lotion
[emoji1] [emoji1] [emoji1] inafaa lakini kwann ww usitumie Revlon au nivea for men!??Hii inafaa pia kwa sisi midume?
Hiyo Revlon iko aina moja ama tofauti? Na kama ni tofauti ni ipi inafaa?[emoji1] [emoji1] [emoji1] inafaa lakini kwann ww usitumie Revlon au nivea for men!??
Zipo tofauti,..ila tumia ya honey au avocado...shukran pia mkuu.Hiyo Revlon iko aina moja ama tofauti? Na kama ni tofauti ni ipi inafaa?
Shukrani mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ....vidole vilikuwa vimeungua ungua nini?Kuna dem niliamua kumuacha kisa ni kujichubua,alikua ananitia aibu kinoma.
Ok ila mimi nina tatizo moja,nimewahi kutumia nivea for men na vaseline lakini nakuwa nawashwa sana machoni sasa sijui tatizo ni nini?Zipo tofauti,..ila tumia ya honey au avocado...shukran pia mkuu.
Usipake usoni basi,usoni paka mafuta kiiidogo sana yenye vitamins E&K au jaribu baby Johnson....au ukipaka lotion yako mf.ya Revlon ya avocado ukishamaliza yale yanayobaki mikononi uyamalize kidogo sio ujikandike NO,.usije pata rashers kwasababu ngozi ya uso nayo inahitaji care,sio unatupiamo kila futa.Ok ila mimi nina tatizo moja,nimewahi kutumia nivea for men na vaseline lakini nakuwa nawashwa sana machoni sasa sijui tatizo ni nini?
Mm napenda na kutumia sabuni yake ila lotion nilijaribu lakini sikupenda nilikuwa nasweat sana,ila ni products nzuri.Shoga angu hata usipate tabu mi mwenyewe nlikuwa mweusi, nikanunua lotion inaitwa perfect white kupaka nikawa mweupe Hadi najishtukia, nilienda kununua grace zoa zoa 2000 tu, nimerudi ngozi yangu Kama means....wadada acheni kujichubua jaman Mana nimeona karaha kwanza unakuwa hauna confidence hata kuongea mbele za watu...nakushauri kanunue vipodozi vya gracezoazoa
Loh....!Usipake usoni basi,usoni paka mafuta kiiidogo sana yenye vitamins E&K au jaribu baby Johnson....au ukipaka lotion yako mf.ya Revlon ya avocado ukishamaliza yale yanayobaki mikononi uyamalize kidogo sio ujikandike NO,.usije pata rashers kwasababu ngozi ya uso nayo inahitaji care,sio unatupiamo kila futa.
Karibu dadiii[emoji6]Loh....!
Nashukuru kwa ushauri mamii
Babycare nadhani itakurudisha kwenye asili ya ngozi yako ile haina mambo mengiKama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si kwamba bado natumia cream la hasha ila lotion nyingi nazotumia hazinipendi nami nataka niwe na rangi yangu halisi yenye mng'ao mzuri.Naombeni mtu anisaidie jina la lotion ambayo haichubui na itayonipa ngozi ya mwonekano mzuri but isiwe za nazi cause nyingi nishazijaribu huwa zinanitoa mapele.
Ngozi yako imeathirika kwa kemikali Kali unahitaji kutumia bidhaa za aloevera kuondoa sumu hizo na kurudisha ngozi ktk hali yake,.Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si kwamba bado natumia cream la hasha ila lotion nyingi nazotumia hazinipendi nami nataka niwe na rangi yangu halisi yenye mng'ao mzuri.Naombeni mtu anisaidie jina la lotion ambayo haichubui na itayonipa ngozi ya mwonekano mzuri but isiwe za nazi cause nyingi nishazijaribu huwa zinanitoa mapele.
Huyu humsaidii, unazidi kumrudisha kwenye majanga, gluta plus mtu amepaka akawa mzungu, mpaka mishipa ya damu inaonekana, akaacha kabla kopo halijafika hata robo.
Shikamoorinju
Vp uliyaokoaje macho yasiwashe?Ok ila mimi nina tatizo moja,nimewahi kutumia nivea for men na vaseline lakini nakuwa nawashwa sana machoni sasa sijui tatizo ni nini?