Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

Hiyo inafahamika Kama Clare difference ya USA hiyo... Ila haichubui zaid ya kusoftisha ngozi tu..... Kwa mfano ukitaka ung 'ae kidog tu unaweka na makali ambayo inauzwa laki tatu na nusu..... Hiyo yenyew 80
e bwana eee
 
MI namshauri tu afike pale dukani Dada angu nakwambia atakuja kukupa mrrjesho apa ......na Mimi nimepewa tu hizo picha za mafuat ili niwe natangaza lkn Nipo bize na chuo dat y sijamaster Sana lkn akifika pale atakutana na sister namhakikishia atarudisha ubora wa ngozi Kama zaman.... Kujichubua zilipendwa siku izi af ni ushangingi pia ko namshauri afike pale au apige hiyo namba
ushangingi ndo nini?
 
sijasema mafuta yako mabaya.ni mazuri sana sana mkuu mimi najua ila kwa case ya huyu anaitaji kurenew skin haitaji toning products.mimi nauza vipodozi pia najua mambo ya vipodozi sana ndo field yangu
ntakutafuta unipe maujanja[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom