Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

Dahh urembo kweli gharama usiombe mtu na bei kubwa zote hzo afu product inamkataa weuwee hahah utamuonea huruma
 
Baby care itakufaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta mafuta ya multibutter, yana Shea butter, mango butter na cocoa butter ndani yake, yametengenezwa USA, bei yake haizidi 15,000. Hutojutia
 
Shoga angu hata usipate tabu mi mwenyewe nlikuwa mweusi, nikanunua lotion inaitwa perfect white kupaka nikawa mweupe Hadi najishtukia, nilienda kununua grace zoa zoa 2000 tu, nimerudi ngozi yangu Kama means....wadada acheni kujichubua jaman Mana nimeona karaha kwanza unakuwa hauna confidence hata kuongea mbele za watu...nakushauri kanunue vipodozi vya gracezoazoa
 
Ok ila mimi nina tatizo moja,nimewahi kutumia nivea for men na vaseline lakini nakuwa nawashwa sana machoni sasa sijui tatizo ni nini?
Usipake usoni basi,usoni paka mafuta kiiidogo sana yenye vitamins E&K au jaribu baby Johnson....au ukipaka lotion yako mf.ya Revlon ya avocado ukishamaliza yale yanayobaki mikononi uyamalize kidogo sio ujikandike NO,.usije pata rashers kwasababu ngozi ya uso nayo inahitaji care,sio unatupiamo kila futa.
 
Shoga angu hata usipate tabu mi mwenyewe nlikuwa mweusi, nikanunua lotion inaitwa perfect white kupaka nikawa mweupe Hadi najishtukia, nilienda kununua grace zoa zoa 2000 tu, nimerudi ngozi yangu Kama means....wadada acheni kujichubua jaman Mana nimeona karaha kwanza unakuwa hauna confidence hata kuongea mbele za watu...nakushauri kanunue vipodozi vya gracezoazoa
Mm napenda na kutumia sabuni yake ila lotion nilijaribu lakini sikupenda nilikuwa nasweat sana,ila ni products nzuri.
 
Usipake usoni basi,usoni paka mafuta kiiidogo sana yenye vitamins E&K au jaribu baby Johnson....au ukipaka lotion yako mf.ya Revlon ya avocado ukishamaliza yale yanayobaki mikononi uyamalize kidogo sio ujikandike NO,.usije pata rashers kwasababu ngozi ya uso nayo inahitaji care,sio unatupiamo kila futa.
Loh....!
Nashukuru kwa ushauri mamii
 
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si kwamba bado natumia cream la hasha ila lotion nyingi nazotumia hazinipendi nami nataka niwe na rangi yangu halisi yenye mng'ao mzuri.Naombeni mtu anisaidie jina la lotion ambayo haichubui na itayonipa ngozi ya mwonekano mzuri but isiwe za nazi cause nyingi nishazijaribu huwa zinanitoa mapele.
Babycare nadhani itakurudisha kwenye asili ya ngozi yako ile haina mambo mengi
 
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si kwamba bado natumia cream la hasha ila lotion nyingi nazotumia hazinipendi nami nataka niwe na rangi yangu halisi yenye mng'ao mzuri.Naombeni mtu anisaidie jina la lotion ambayo haichubui na itayonipa ngozi ya mwonekano mzuri but isiwe za nazi cause nyingi nishazijaribu huwa zinanitoa mapele.
Ngozi yako imeathirika kwa kemikali Kali unahitaji kutumia bidhaa za aloevera kuondoa sumu hizo na kurudisha ngozi ktk hali yake,.
Nitafute kwa msaada zaidi 0620271036
 
2c430e4a55b7e42201b328b94367cdd9.jpg
Huyu humsaidii, unazidi kumrudisha kwenye majanga, gluta plus mtu amepaka akawa mzungu, mpaka mishipa ya damu inaonekana, akaacha kabla kopo halijafika hata robo.
 
Ila kuna watu wanajua kujichubua aisee.niliwai date demu flani....karib mwaka mzima...kuna sku1 nikapataga story yake kutoka kwa mwamba m1 ambae alisomaga nae ...akanambia yule demu alikuaga mweusi....

Ila huwez amin skuwai shtukia..sabab alikua wakishua sana nkajua hawez fanya hzo mambo
 
Back
Top Bottom