Natafuta machimbo ya vizigo

Natafuta machimbo ya vizigo

tupe mchanganuo mkuu, kwa pesa hiyo unapata mzigo kiasi gani kwa kila kiungo
Napata pea 200, pea ni miguu miwili plus kichwa kimoja, kwahyo 50,000/200 utapata bei ya kila pea kwa manunuzi yako ww, kuhusu profit, hapo inategemea na ww utauzaje kwa hyo pea kulingana na soko lako.
 
Mkoa gani wanakulaa hivyo vizigo? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Napata pea 200, pea ni miguu miwili plus kichwa kimoja, kwahyo 50,000/200 utapata bei ya kila pea kwa manunuzi yako ww, kuhusu profit, hapo inategemea na ww utauzaje kwa hyo pea kulingana na soko lako.
shingo, na firigisi hawatoi
 
Tz fursa bado ni nyingi kumtosha kila mtu sister yangu aliingia kwenye biashara ya panki nakumbuka nami niliweka laki tatu yangu aisee biashara Ile imekua sana now sister ni don anafunga mzigo baada ya kuukausha Kwa Moshi unaenda hadi nchi jirani amenunua hadi tandam akipeleka samaki analudi na ngombe , biashara ilianza kwenye 2015 now ana wafanyakazi wa kutosha .
 
Back
Top Bottom