emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
tupe mchanganuo mkuu, kwa pesa hiyo unapata mzigo kiasi gani kwa kila kiungoTsh.50,000/=
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tupe mchanganuo mkuu, kwa pesa hiyo unapata mzigo kiasi gani kwa kila kiungoTsh.50,000/=
Napata pea 200, pea ni miguu miwili plus kichwa kimoja, kwahyo 50,000/200 utapata bei ya kila pea kwa manunuzi yako ww, kuhusu profit, hapo inategemea na ww utauzaje kwa hyo pea kulingana na soko lako.tupe mchanganuo mkuu, kwa pesa hiyo unapata mzigo kiasi gani kwa kila kiungo
shingo, na firigisi hawatoiNapata pea 200, pea ni miguu miwili plus kichwa kimoja, kwahyo 50,000/200 utapata bei ya kila pea kwa manunuzi yako ww, kuhusu profit, hapo inategemea na ww utauzaje kwa hyo pea kulingana na soko lako.
Kutoa kwamana yaa?, sijakupata vzr mkuu.shingo, na firigisi hawatoi
Usicheke ivi biashara Kuna sehemu niliona mzigo(vizigo) Watu wanagombania FAIDA nusu Kwa nusu na mtaji.Mkoa gani wanakulaa hivyo vizigo? Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]