Natafuta male friend

Latoya

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
660
Reaction score
457
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.
 
Ha ha ha mbona hapo umekaa kimtego mtego hivi huyo wa hivyo kweli yupo bibie!,sijui
 
watakuogopa kwa kuwa utamaduni huo hawajauzoea.
 
Sasa Latoya, kama huna nia ya mpenzi kwa nini usitafute tu binti mwenzako mkawa marafiki...??
 
Nataka friend niko so lonely apart from job sina marafiki wengi i just need a male figure as a friend in my life for now
watakuogopa kwa kuwa utamaduni huo hawajauzoea.
 
I need a male figure in my life kwa sasa,ila awe rafiki tu
Sasa Latoya, kama huna nia ya mpenzi kwa nini usitafute tu binti mwenzako mkawa marafiki...??
 
Hebu funguka bi mkubwa...si unajua sisi wanaume tuna vining'inio na vimebandikwa kaprikosheni "keep out of reach of children"?...

Nataka friend niko so lonely apart from job sina marafiki wengi i just need a male figure as a friend in my life for now
 
Karibu umenipata, napenda classic movies and some fictions movies, unapenda nini wewe bibie?
 
I need a male figure in my life kwa sasa,ila awe rafiki tu

Unataka mfanye nini haswa hadi imekuwa spesho kiasi cha kufunguka jamvini bi mkubwa...?
Funguka basi maana hata Jenu alianza hivi hivi...
 
Last edited by a moderator:
Nitumie namba yako nikurukie hewani faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…