Natafuta male friend

Natafuta male friend

Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.

karibu sana ni PM,ila kama wewe ni mke wa mtu please kaa mbali,
 
mi ningekupm ila naona watu kibao tu wanataka wakupm kila la kheri cute latoya.
 
Hapo pwani ni karibu na mabwepande???
Kw sasa wametulia kidogo hawajangoa kucha na meno , nitatumia hii opportunity kujenga mahusiano na Latoya ! Wakiaanza michakato yao huku Pwan sitaenda tena. @ Latoya nipm address yako, picha yako iambatane na jina lako halisi
 
Karibu umenipata, napenda classic movies and some fictions movies, unapenda nini wewe bibie?

we unataka ktk hizo muvi uingizie xxxyz muvi ukisubstitute unamake subject mwisho wake.... Mwenzako hataki muvi anataka mkacheze baharin
 
Ushampata? Kama bado nipo kwa ajili yako nipo Moshi
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.
 
mmmh imebaki miaka michache tu tuache kuoa watu wa pwani ila ucjali we ni pm tu ushanipata usihangaike kutafuta mwngne mi nshakubali
 
Mmmh sitafuti mume,nataka rafiki na niko pwani kikazi tu
mmmh imebaki miaka michache tu tuache kuoa watu wa pwani ila ucjali we ni pm tu ushanipata usihangaike kutafuta mwngne mi nshakubali
 
Watu mwawaza ngono sana,nahitaji rafiki2 atakaye ngono huyo hanifai,akatafute wasichana wengine wakungonoa
Sidhani kama kuna mwanaume wa kiafrika aliyetayari kupoteza muda wake na wewe bila kukudo. Jaribu kwenye Jf ya ulaya bibie
 
Back
Top Bottom