Natafuta male friend

Natafuta male friend

Nashukuru wote mlonipm ntajibu kadri nipatavyo nafac,ila niko serious kuwa sex is not part ya hyo friendship,nataka rafiki only,waweza kuwa na mtu wako wa kungonoka naye ila kwangu ni friendship only,kama unania ya ngono naomba ukae pembeni tu
 
Hapo ni poa lakn cjui kama utapata wa aina unayotaka aise....... Mm napenda spending lakn cmkaz wa dar sana ...... Npo ar na mosh kwa sana.......
Nataka friend niko so lonely apart from job sina marafiki wengi i just need a male figure as a friend in my life for now

Sent from my BlackBerry
 
Ndomana nikaweka wazi aina ya urafiki niutakao,anayeona anakidhi vigezo na ataweza shart la kutongonoka anakaribishwa
Hapo ni poa lakn cjui kama utapata wa aina unayotaka aise....... Mm napenda spending lakn cmkaz wa dar sana ...... Npo ar na mosh kwa sana.......

Sent from my BlackBerry
 
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.
Mi niko tayari kabisa mana mi mwenyewe cna mtu wa kuspend naye. Kama vp nipe contact
 
Mimi nina miaka 104 je utakuwa tayari kupokea kampani yangu?.Mi pia niko alone sina mwanamke na wanangu wote ni wazee na miji yao. Kwa mwasiliano zaidi niinbox
 
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.
i'm available...23 yrs niko dar...PM me if you are interested sitaki mambo ya Sex Kabisaaaaaaa
 
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.

umenipata ni pm mamaaa.
 
hallow Latoya, pm yangu haikufika nini!? mbona hukureply bana!!. mi bado nasubiri majibu ya pm yako. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom